Monday, 25 February 2013

Uraibu

21. Uraibu ni mbaya unapoathiri maisha ya mtu.

www.facebook.com/koloniasantita

4 comments:

  1. Ukinywa pombe leo halafu kesho ukashindwa kwenda kazini kwa sababu ya 'hangover', muda umefika wa kuacha pombe.

    ReplyDelete
  2. Ukibwia unga leo halafu kesho ukashindwa kwenda kazini kwa sababu ya 'hangover', muda umefika wa kuacha unga.

    ReplyDelete
  3. Kadiri unavyozidi kupanda juu ndivyo utakavyoanguka vibaya.

    ReplyDelete
  4. Kadiri unavyozidi kutumia madawa ya kulevya ndivyo madhara yake yatakavyokuwa makubwa. Hivyo acha kukingali bado mapema.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...