21. Uraibu ni mbaya unapoathiri maisha ya mtu.
www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
-
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
-
Kolonia Santita ni shirika la madawa ya kulevya ( drug cartel ). Panthera Tigrisi ni mfanyabiashara wa madawa ya kulevya, katili kuliko ...
-
Heroini, Heroini safi isiyokuwa na doa. Biashara kuu ya pili ya Kolonia Santita baada ya kokeini, iliyomfanya Panthera Tigrisi awe taji...

Ukinywa pombe leo halafu kesho ukashindwa kwenda kazini kwa sababu ya 'hangover', muda umefika wa kuacha pombe.
ReplyDeleteUkibwia unga leo halafu kesho ukashindwa kwenda kazini kwa sababu ya 'hangover', muda umefika wa kuacha unga.
ReplyDeleteKadiri unavyozidi kupanda juu ndivyo utakavyoanguka vibaya.
ReplyDeleteKadiri unavyozidi kutumia madawa ya kulevya ndivyo madhara yake yatakavyokuwa makubwa. Hivyo acha kukingali bado mapema.
ReplyDelete