Thursday, 28 March 2013

Mercedes Benz

Gari la Vijana wa Tume walilopewa na Jeshi la Anga la Meksiko kwa makubaliano maalumu na Tume ya Dunia ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya, Mercedes Benz, lilivyosambaratishwa na kombora la magaidi wa Kolonia Santita katika barabara ya Mexico City ya Gobernador Ignacio Esteva, karibu na Ubalozi wa Urusi, lilipokuwa njiani kuelekea Álvaro Obregón katika makao makuu ya Kolonia Santita ya kiwanda cha Dongyang Pharmaceuticals. Vijana wa Tume walikuwa na mtoto wa rais wa Meksiko, Debbie Patrocinio Abrego.

http://www.enockmaregesi.wordpress.com

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...