Friday, 14 December 2012

Kitendawili 3

Kitendawili! Kutakuwa na kitendawili cha Kolonia Santita mwaka 2013 kitakachoitwa 'Msimbo wa Kolonia Santita'. Msimbo wa Kolonia Santita ndicho kitu pekee kinachoitofautisha 'Kolonia Santita' na vitabu vingine vyote vya riwaya DUNIANI! Kutakuwa na zawadi ya shilingi (za Kitanzania) milioni moja kwa yoyote atakayekitegua ndani ya miezi sita kuanzia tarehe 8/7/2013.

Read between the lines to get the message below the surface. Soma kwa makini kupata ujumbe uliojificha!


www.enockmaregesi.com

2 comments:

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...