Monday 16 October 2017

Dawa ya Uchawi ni Wema wa Moyo

247. Wachawi wana imani zaidi kuliko wakristo, ndiyo maana wanafanikiwa katika mambo yao, wakati wakristo ndiyo wanaotakiwa kuwa na imani zaidi kuliko wachawi.

Wakristo wakiwa na imani zaidi kuliko wachawi, wachawi hawatafanikiwa katika mambo yao; kwani dawa kubwa zaidi ya uchawi kuliko zote ni imani. Kuwa Nasara wa Yesu Kristo.

Ukiwa na imani isiyokuwa na shaka juu ya ufalme wa mbinguni unakuwa na Yesu, wachawi wakikuroga wanamroga Yesu, nguvu ya kibinadamu haitaweza kukufikia.

Dawa ya uchawi ni wema wa moyo, ambayo ni imani.

2 comments:

  1. Usiwe mkristo wa kanisa, usiwe mkristo wa dini, kuwa Mkristo wa Yesu Kristo.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...