Ndoto yako haitakufa mpaka utakapokufa. Usikate tamaa, kabisa!
Unaweza kuishi milele lakini pia unaweza kufa kesho. Usikate tamaa. Waotaji waliozifanyia kazi ndoto zao bila ya kujali maneno ya wapinzani wao, walitengeneza kila kitu kinachokuzunguka. Ukiishi kulingana na ndoto zako utapata nafasi ya kudharau kila mtu, utachukiza wengi. Geuka ukifika mwisho wa njia. Huo ndio mwanzo wa njia nyingine.
No comments:
Post a Comment