Wednesday, 26 July 2017

Magnum

Bastola iliyotumiwa na John Murphy katika mgogoro kati ya Vijana wa Tume na magaidi wa CS-Copenhagen, (.475 Magnum), huko Frederiksberg, jijini Copenhagen, katika makao makuu ya Ulaya ya Kolonia Santita.

.475 Magnum, ambayo mwendokasi wake katika umbali wa meta 100 ni sawa na mwendokasi wa .44 Magnum (kilometa 1917 kwa saa) iliyotumiwa na Frederik Mogens katika manispaa ya Frederikberg ndani ya manispaa ya Copenhagen, ilitengenezwa na Wildey J. Moore wa Marekani kubeba risasi 8 katika chemba yake mwaka 1973.

Hata hivyo, bastola za namna hii zilitengenezwa kwa mara ya mwisho mwaka 2011, ya mwisho kabisa kutengenezwa ikiwa .45 Magnum.

.475 Magnum ilipata umaarufu zaidi ilipotumiwa na mcheza filamu maarufu duniani Charles Bronson, katika filamu yake ‘Death Wish 3’ ya mwaka 1985.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...