Wednesday, 19 April 2017

Ukitaka Kufanikiwa Katika Maisha Angalia Watu Wanataka Nini Halafu Wape

Ukitaka kufanikiwa katika maisha angalia watu wanataka nini halafu wape. Kama wanataka burudani wape. Kama wanataka elimu wape. Kama wanataka bidhaa wape. Kama wanataka huduma wape. Wape kwa msaada wa wataalamu.

2 comments:

  1. Ukiwapa watu kile wanachokitaka wataendelea kukihitaji.

    ReplyDelete
  2. Kadiri watakavyopata ndivyo watakavyohitaji.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...