Saturday, 15 April 2017

Kisu cha Kijeshi cha John Murphy

Kisu cha kijeshi cha John Murphy alichotumia kumchoma mlinzi wa Panthera Tigrisi, Kahima the Warrior, kwenye paja, nje ya Bandari ya Salina Cruz huko Oaxaca nchini Meksiko, na alichopendelea kutumia katika sanaa ya mapigano ya Karambiti.

1 comment:

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...