Saturday, 22 April 2017

Falsafa ya Usawa kwa Watu na Vitu Vyote ya Yin-Yang

Falsafa ya Usawa kwa Watu na Vitu Vyote ya Yin na Yang ya Kichina, inayotumiwa na Panthera Tigrisi na majambazi wengine wa Amerika ya Kusini na Kaskazini kusaidia watu waliosahauliwa na serikali zao.

Falsafa ya Usawa kwa Watu na Vitu Vyote ya Yin-Yang ya Kichina ni falsafa inayotumiwa na Wachina, kujifunza sanaa ya mapigano na kutengeneza madawa ya asili, na magaidi wa madawa ya kulevya wa Amerika ya Kusini na Kaskazini kusaidia watu waliosahauliwa na serikali zao.

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...