Monday, 20 March 2017

Kichwa cha Treni

217. Kichwa cha treni kinavuta mabehewa mengi.

Watu wengi hawana maarifa kwa sababu ya elimu na utajiri. Hawana elimu na hawana utajiri. Nchi iwape wananchi wake kila kitu isipokuwa ujinga na umaskini.

1 comment:

  1. Watu wengi wanavutwa na kichwa cha mtu mmoja kwa sababu hawana maarifa. Tatizo ni elimu. Tatizo ni umaskini. Tatizo ni maendeleo.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...