Familia
yako haikusaidii chochote katika mipango ya takdiri yako. Hii
inasikitisha sana. Unajitahidi kila siku kuwafurahisha watu unaowapenda
na watu wako wa karibu. Kila ukijitahidi kupata kibali cha watu unaishia
kudharaulika na kuonekana mjinga asiyekuwa na maana. Sikiliza
mazungumzo ya ndani ya moyo wako. Wapendwa wako watakukubali kama mtu
hodari asiyekata tamaa, na tena watakuheshimu kutokana na tabia zako
hizo. Mabadiliko haya ya kifikra hayatatokea haraka kama unavyofikiria.
Yatachukua muda. Hivyo, kuwa mvumilivu. Wakati huohuo, endelea kucheza
ngoma uliyoianzisha mwenyewe, endelea na mipango yako kama akili yako
inavyokutuma.
Wakati ndege inapaa huwa inapambana na upepo. Lakini inapaa, hata hivyo.
Wakati ndege inapaa huwa inapambana na upepo. Lakini inapaa, hata hivyo.
Usikate tamaa.
ReplyDelete