193. Kuna siri ambayo wanaume hawaijui kuhusu wanawake. Wanawake wenye 
umri wa miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili wana mapenzi ya kweli.
 Ishirini na mbili hadi ishirini na nne wana mawenge. Ishirini na nne 
hadi ishirini na saba wanajitambua. Ishirini na saba hadi thelathini 
wana hofu na mashaka mengi. Thelathini hadi thelathini na tano wana 
msongo wa mawazo. Thelathini na tano hadi arobaini na mbili ndoa nyingi 
huvunjika. Kwa hiyo, kuwa makini na wanawake na wanaume hasa wanawake na
 wanaume wa kundi la sita. Wanawake na wanaume hasa wanawake na wanaume 
wa kundi la sita, wengi wao wana DNA ya wapenzi wao wa zamani.
http://www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
- 
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
 - 
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
 

Wanawake wenye umri wa miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili wanaweza kutawaliwa. Ishirini na mbili hadi ishirini na nne wanaweza kukuumiza. Ishirini na nne hadi ishirini na saba unaweza kuweka malengo nao yenye natija. Ishirini na saba hadi thelathini watakuchunguza sana na hawatakupenda kutoka moyoni. Thelathini hadi thelathini na tano wamejawa na dharau za kijinga. Thelathini na tano hadi arobaini na mbili watakung’ang’ania kupoza hasira za huko walikotoka. Tofauti na wanawake wenye umri wa miaka kumi na nane hadi ishirini na mbili, na wanawake wenye umri wa miaka ishirini na nne hadi ishirini na saba, wengine wote ni kubahatisha.
ReplyDeleteMwanamke mwenye umri wa miaka arobaini na mbili na kuendelea anafaa kuolewa kama ni mjane na ataweza kuwapenda watoto wako kama mama yao alishafariki. Yule ambaye hajawahi kuolewa au aliyewahi kuolewa lakini akaachika bado ni kubahatisha, kwa sababu hujui kwa nini hajaolewa au kwa nini aliachika, hata kama ana watoto.
ReplyDeleteHayo ni maneno ya wahusika wangu kwenye kitabu… Mhusika, takriban, ana uwezo wa kusema jambo lolote.
ReplyDelete