191. Shetani anaweza kukudanganya kwa kukuambia ombeni bila kukoma, wewe
 ukakesha kuomba na kesho ukaendesha gari lako kuelekea kazini ambako 
una kikao cha muhimu hali kadhalika. Ukifika kazini unasinzia kwenye 
kikao unaonekana teja, kumbe ni kazi ya Ibilisi. Tujifunze namna ya 
kuzipima roho, si kila roho inatoka kwa Mungu.
http://www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
- 
KITENDAWILI CHA KOLONIA SANTITA Shilingi milioni moja za Kitanzania kushindaniwa ndani ya miezi sita kuanzia leo Swali: Kila namba ...
 - 
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
 

Shetani ana mbinu nyingi za kuwateka wana wa Mungu. Mwanzo sura ya tatu inaonyesha jinsi Hawa alivyoona tunda linang’aa na akazama kwenye tunda pasipokujua kuna mauti ndani yake. Shetani anaangalia kipengele unachokitumia kuchukua maamuzi magumu naye anavaa jezi kama ya kwako ili usimgundue. Roho Mtakatifu akiwa anakuongoza penye hila nafsi yako itakuongoza.
ReplyDeleteKuwa makini na manabii wa uongo.
ReplyDelete