Monday, 12 September 2016

Kiongozi

190. Hatumtaki kiongozi anayeishi katika mifuko ya mafisadi, tunamtaka kiongozi anayeishi katika ibara za katiba ya nchi. Kitambi bila Yesu ni jipu.

http://www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

  1. Ukiwa na Yesu hutaishi kwa kutegemea rushwa, bali utaishi kwa kutegemea sheria. Ukiishi kwa kutegemea rushwa, rushwa itaishi kwa kukutegemea wewe.

    ReplyDelete
  2. “Rushwa ni dhambi, rushwa ni adui wa haki na hudidimiza taifa. Usishawishi, usitoe wala usipokee rushwa.” –Tanzania

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...