Thursday, 19 May 2016

Havard

Kiswahili chafundishwa katika Chuo Kikuu cha Havard, Marekani, tangu mwaka 2003.

“Ukiongea na mtu kwa lugha anayoielewa habari huenda kichwani mwake. Ukiongea na mtu kwa lugha yake habari huenda moyoni mwake.” – Nelson Mandela

NEWS.HAVARD.EDU

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...