Monday, 24 August 2015

Enock Maregesi

Falsafa za Enock Maregesi zitaendelea, lakini baada ya wiki kumi na sita kuanzia Jumatatu ya wiki iliyopita, mpaka kitabu kipya (kitakachoitwa kwa Kiswahili 'Falsafa za Enock Maregesi: Nukuu za Nyakati Zetu', au kwa Kiingereza 'The Wit and Wisdom of Enock Maregesi: A Book of Quotations', msingi wa maandishi ya Enock Maregesi) kitakapochapishwa.

http://www.facebook.com/koloniasantita

No comments:

Post a Comment

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...