Monday, 16 March 2015

Waandishi

128. Waandishi ni wadadisi.

http://www.enockmaregesi.wordpress.com 

5 comments:

  1. Waandishi wanapaswa kuwa wadadisi, kama paka, ijapokuwa udadisi ni hatari.

    ReplyDelete
  2. Usifanye uchunguzi, au jaribio, usiokuwa wa lazima.

    ReplyDelete
  3. Udadisi ni hatari. Fikiri kabla ya kutenda.

    ReplyDelete
  4. Fikiria kwanza maana ya kitu unachofikiria, halafu tenda. Fikiria kwanza maana ya kitu unachosema, halafu sema.

    ReplyDelete
  5. Wenye hekima huzungumza kwa sababu wana kitu cha kuzungumza. Wapumbavu hubwabwaja.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...