Monday, 30 March 2015

Shetani

130. Nje ya uwezo wa kisheria ni shetani.

http://www.enockmaregesi.wordpress.com 

3 comments:

  1. Kama nje ya uwezo wa kisheria ni uovu, hivyo basi, ndani ya uwezo wa kisheria ni wema. Kila mtu amepewa vipaji na Mwenyezi Mungu. Tumia vipaji vyako kutenda mema. Usitumie vipaji vyako kutenda maovu.

    ReplyDelete
  2. Kuvunja sheria ni sawa na kufanya kosa, na kwa hiyo kuwa mkosaji, mbele ya sheria na mbele ya mungu.

    ReplyDelete
  3. Kufanya kosa huku ukijua ni kosa ni kujiombea jela mwenyewe.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...