Monday, 9 March 2015

Kufanikiwa

127. Wakati mwingine tukitaka kufanikiwa lazima tujifunze kutunza siri.

http://www.enockmaregesi.wordpress.com 

5 comments:

  1. Kutunza siri wakati mwingine ni kitu kigumu sana kwa baadhi ya watu lakini watu wanapaswa kuwa na uwezo wa kutunza siri kujijengea uaminifu, ambao ni siri ya mafanikio.

    ReplyDelete
  2. Ukiwa na uwezo wa kutunza siri watu watakuamini. Watu wakikuamini utafanikiwa.

    ReplyDelete
  3. Ukiona kitu ambacho hukupaswa kuona, au ukisikia kitu ambacho hukupaswa kusikia, fumba macho kwa kuyakodoa! Ulichokiona au kukisikia usikiseme leo na hata milele. Jifanye hukuona kitu, hukusikia kitu. Ukifumbua macho kwa kuyakodoa utapata matatizo, makubwa.

    ReplyDelete
  4. "Wanaosema hawajui wanaojua hawasemi. Siri ni siri milele."

    ReplyDelete
  5. Kila mtu anapaswa kuwa na siri angalau moja katika maisha yake.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...