Monday, 23 February 2015

Kikwazo

125. Kikwazo kikubwa cha kwenda mbinguni ni kifo!

http://www.enockmaregesi.wordpress.com 

6 comments:

  1. Kikwazo kikubwa cha kwenda mbinguni ni kifo. Kikwazo kikubwa cha kwenda ahera ni uzima wa milele. Kikwazo kikubwa cha kwenda mbinguni ni Shetani. Kikwazo kikubwa cha kwenda ahera ni Yesu Kristo. Yesu Kristo ni njia iliyo huru ya kwenda mbinguni. Shetani ni njia iliyo huru ya kwenda ahera.

    ReplyDelete
  2. Kufanikiwa katika maisha lazima kitu fulani ambacho si cha kawaida kitokee katika maisha yako, bila kujali uko upande wa Yesu au upande wa Shetani. Kufanikiwa katika maisha ni sawa na kwenda mbinguni, au kuishi mbinguni duniani. Kitu ambacho si cha kawaida kutokea katika maisha yako ni sawa na kifo. Fanya kitu ambacho hujawahi kufanya kupata kitu ambacho hujawahi kupata.

    ReplyDelete
  3. "The biggest barrier in success is the nightmare – You will have to endure the nightmare to be successful."

    ReplyDelete
  4. Ukimfuata Yesu Kristo utakwenda mbinguni, baada ya kifo. Ukimfuata Shetani utakwenda ahera, baada ya kifo.

    ReplyDelete
  5. Kikwazo kikubwa cha kwenda ahera si kifo ni uzima wa milele. Kikwazo kikubwa cha kwenda mbinguni si uzima wa milele ni kifo.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...