Thursday, 18 December 2014

Barcode

Barcode, mfumo wa kusoma taarifa za bidhaa unaojiendesha wenyewe, 9781477222966, ya Kolonia Santita.

http://www.enockmaregesi.com

2 comments:

  1. 978 inawakilisha Uingereza, kitabu cha KOLONIA SANTITA kilipochapishwa. 4772 inawakilisha AuthorHouse, kampuni ya uchapishaji wa vitabu ya Marekani iliyochapisha kitabu cha KOLONIA SANTITA. 2296 inawakilisha jina la kitabu cha KOLONIA SANTITA. 6 ni namba ya uhakiki ya mfumo wa kusoma taarifa za bidhaa unaojiendesha wenyewe wa KOLONIA SANTITA.

    ReplyDelete
  2. Kolonia Santita hardcover,
    http://www.authorhouse.co.uk/Bookstore/BookDetail.aspx?BookId=SKU-000483181

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...