Monday, 31 March 2014

Mamlaka

78. Serikali imepewa mamlaka na wananchi kuwaendeshea nchi yao. Mamlaka ya wananchi hushinda ya serikali.

http://www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

  1. Nguvu ya wananchi ni kubwa kuliko nguvu ya serikali.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...