Thursday, 27 February 2014

Maabara

Maabara ya kutengenezea madawa hatari ya kulevya kuliko yote ya methamfetamini au hielo!

1 comment:

  1. Hielo huweza kutengenezwa nyumbani. Mbolea ya amonia ('ammonium fertilizer' ), na lithi ('lithium'), kutoka ndani ya betri za kawaida kwa mfano, huwekwa ndani ya chupa ya kawaida ya soda na kuifunika. Kemikali zinapofanya kazi hutoa si tu methi, lakini pia fukizo ('fumes'); lakini ambazo zina uwezo wa kulipuka. Hielo ni tofauti na kokeini kwa sababu inaunguza. Humfanya mtumiaji ajisikie raha ya kupindukia, nguvu, na makini! Mtumiaji huweza kukaa kwa masaa ishirini na nne kwa siku, anaweza kufanya kazi kwa wiki nzima, au wiki mbili, bila kupumzika. Methi huvutwa kwa kutumia buruma ('pipe') inayomlewesha mtumiaji kwa haraka na vizuri zaidi. Matokeo mabaya ya baadaye ya utumiaji wa madawa haya ya ajabu; ni pamoja na matatizo makubwa ya afya ya akili, na ukosefu kabisa wa hamu ya kula na kulala – unaweza kujisikia kama vile unataka kuurarua uso wako wote! Kujikinga na dalili za namna hiyo, waathirika hulazimika kuvuta hielo zaidi. Kukosa usingizi ni kubaya. Ukizidi kukaa kwa muda mrefu bila kulala, mwishowe utaugua ugonjwa unaitwa 'matatizo ya akili ya wasiwasi' ('severe paranoid psychosis').

    Kama shumuya (heroini), ukitumia hielo utajisikia raha ya kupindukia. Kawaida, watu huanza kuvuta hielo baada tu ya saa sita za usiku; utataka buruma nyingine, utataka tena kujidunga. Kisha utafanya vitu vya ajabu kama kusafisha nyumba mpaka asubuhi. Dozi kubwa ya hielo huweza kusababisha kiharusi, maruweruwe, ugonjwa wa moyo, na kifo.

    http://www.scribd.com/doc/162616929/Methamfentamini#fullscreen

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...