Monday, 4 November 2013

Kuzaliwa

57. Kuzaliwa na kuishi ni mibaraka mikubwa ya Mwenyezi Mungu kuliko yote duniani.

http://www.facebook.com/koloniasantita

3 comments:

  1. Mungu alikuchagua wewe ili ulete mabadiliko katika jamii yetu ya uanadamu.

    ReplyDelete
  2. Wengine huzaliwa na kufa, wengine hawazaliwi kabisa.

    ReplyDelete
  3. God chose you for a purpose. You have a contribution to make to our human community.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...