56. Mungu alitupa masikio mawili na ulimi mmoja. Tunatakiwa kusikiliza zaidi kuliko kuongea.
http://www.facebook.com/koloniasantita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Roho Yako
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...

-
Mpelelezi wa Tume ya Dunia kutoka Jerusalem, Israeli, Kanali Daniel ‘Yehuda Ben-Asher’ Ebenezer, Daniel Yehuda, alikuwa komandoo wa kit...
-
Uwanja wa Ndege wa Copenhagen-Roskilde: uliotumiwa na Tume ya Dunia na Kolonia Santita kwa pamoja – kilometa tisa kutoka katika Kanisa ...
Mungu alitupa masikio mawili na ulimi mmoja kwa sababu kusikiliza ni kugumu kuliko kuongea.
ReplyDeleteSikiliza kabla ya kuongea.
ReplyDeleteYou want to help your daughter feel “heard” and “understood”? Don’t always be so quick to answer and to speak. Listen. Yes, just listen. Ask questions that are not yes or no questions, and listen to her. I think one of the reasons people were drawn to Jesus was because He listened and asked great questions. Many girls want an ear and if asked the right questions, they may come to the conclusions you are hoping they will without you needing to lecture them. You may even learn a thing or two from them. – Kristy Fox
ReplyDeletechunguza kwa makini, ukiongea sana hutapata habari kamili. hutapata habari kamili kwa sababu utashindwa kujifunza kutoka kwa wengine kwa maana ya kushinfwa kujifunza kutokana na kile walichotaka kukisema
ReplyDelete