Monday, 14 October 2013

Debbie

54. Gari ya Debbie ilikuwa na uwezo wa kusimama haraka kuliko ilivyoweza kukimbia.

http://www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

  1. Gari ya Debbie huchukua sekunde 12 kutoka kilometa 0 mpaka kilometa 210 kwa saa. Huchukua sekunde 10 kutoka kilometa 210 kwa saa mpaka kilometa 0. Ina uwezo wa kusimama haraka kuliko inavyoweza kukimbia.

    ReplyDelete
  2. Mercedes-Benz 600 SEL 6.0-litre V12 M 120 engine (408 hp, 580 nm) - gari ya mtoto wa Rais wa Meksiko Debbie Patrocinio Abrego.

    http://www.pinterest.com/pin/506655026800601730/

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...