Monday, 10 June 2013

Kafara

36. Ukitaka kujua maana halisi ya maisha yako kuwa tayari kufanya vitu vikubwa vitakavyohitaji nguvu ya Mungu kuvikamilisha - na kudumu katika maisha hayo kwa kafara ya maombi.

www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

  1. Vitu vikubwa kabisa katika maisha uhitaji nguvu ya Mungu kuvikamilisha - kwa kujifunza kushukuru badala ya kuomba wakati wa matatizo. Kushukuru wakati wa matatizo ni kafara ya maombi.

    ReplyDelete
  2. hata serikali huwa zinaomba mungu zinapokabiliwa na maamuzi mazito ya kuendesha nchi

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...