Monday, 15 April 2013

Zawadi

28. Zawadi bora ya maisha kwa mwanadamu si fursa ya kufanya kazi kwa bidii na kuwa kitu fulani katika jamii. Ni amani ya Mungu katika moyo wa mwanadamu.

http//www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

  1. The best prize life has to offer is not a chance to work hard and be something in the community. It is the perfume of God that resides within you.

    ReplyDelete
  2. Mungu alituumba ili tuwe na amani yake, amani yake ndiyo inayomfurahisha zaidi.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...