Monday, 18 February 2013

Tajiri

20. Kuwa tajiri si kazi rahisi. Ukipata milioni ya kwanza utataka nyingine kulinda hiyo ya kwanza. Ukipata ya pili utataka mbili zingine kulinda hizo mbili za kwanza, n.k. Si kazi rahisi. Si kama unavyofikiria. Utajiri haujanipa furaha. Umenipa uhuru. Ndugu zangu ni maskini wa kutupwa. Ningependa kuishi kama maskini mwenye pesa nyingi.

http://www.facebook.com/koloniasantita

5 comments:

  1. Heri kuwa maskini mwenye pesa nyingi kuliko tajiri mwenye mifuko iliyotoboka.

    ReplyDelete
  2. Money has not given me happiness. It has given me independence.

    ReplyDelete
  3. Yes, mone does buy happiness.

    ReplyDelete
  4. Countdown ya kitendawili cha Kolonia Santita imeanza katika tovuti ya Enock Maregesi (www.enockmaregesi.com) kuanzia sasa mpaka January 2014. Hope itakuwa revolutionary!

    ReplyDelete
  5. Enock Maregesi is a man of integrity.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...