Monday, 11 February 2013

Madawa

19. Situmii madawa ya kulevya. Madawa ya kulevya ni mimi mwenyewe; nahitaji kusaidiwa!

http://www.facebook.com/koloniasantita

10 comments:

  1. Jambazi akila kibano kutoka kwa John Murphy.

    ReplyDelete
  2. Ukitumia madawa ya kulevya kwa muda mrefu unakuwa hatari kama madawa yenyewe.

    ReplyDelete
  3. Murphy alifanya vibaya kuwaua hao majambazi. Angewapeleka polisi ili sheria ifuate mkondo wake.

    ReplyDelete
  4. Murphy hapigi wanawake. Anapiga wanaume, anaua majambazi!

    ReplyDelete
  5. Hiyo quote inapatikana ktk paragraph ya 6 ya ukurasa wa 233 wa Kolonia Santita. Murphy hakuwaua hao majambazi. aliwapeleka ktk kituo cha polisi cha Tume ya Dunia cha Zona Rosa Mexico City.

    ReplyDelete
  6. Ningependa kurekebisha kauli yangu hapo juu. Murphy hakuwaua wale majambazi aliwapeleka polisi. Lakini Murphy ni katili, tulikubali hilo!

    ReplyDelete
  7. Hii ni passage ya paragraph ya 6 ya ukurasa wa 233 wa Kolonia Santita: "Kujiingiza katika madawa ni matokeo ya maisha. Hatutumii madawa ya kulevya. Madawa ya kulevya ni sisi wenyewe; tunahitaji kusaidiwa." - Enock Maregesi.

    ReplyDelete
  8. John Murphy na wenzake hawajapewa mamlaka ya kuua watu ovyo kama James Bond. Kila wanayemuua lazima waandike ripoti kwa nini wamemuua. Kazi yao si kuua; ni kukamata. Wataua itakapobidi.

    ReplyDelete
  9. John Murphy is a rational and methodical individual. He is an exact thinker who favours adhering to procedures in both his business and personal lives. Mr Murphy (Ambie) works in a methodical manner, is accurate, exact and attentive to detail. He does not like antagonistic situations and will generally conduct himself in a diplomatic and conscientious manner. He is obliging, an exact communicator who demonstrates courtesy and loyalty in all his dealings.

    ReplyDelete
  10. Murphy ni katili kwa majambazi. Otherwise ni mtu mzuri sana.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...