Monday, 21 January 2013

Ukweli

16. Kitu cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine.

http://www.facebook.com/koloniasantita

7 comments:

  1. John Murphy akifikiria aokoke vipi alipotekwa na katibu muhtasi wa Panthera Tigrisi Maria Cosillas Ortega, katika mazingira ya kutatanisha.

    ReplyDelete
  2. Kitu cha kwanza kufanya kama umeamua kuficha ukweli wape watu ukweli mwingine kulinda thamani ya utu wako.

    ReplyDelete
  3. Uongo usingekuwepo dunia isingekuwa kama ilivyo sasa na ni dhambi tuliyoirithi kutoka kwa grandparents wetu Adam na Hawa. Jaribu kufikiria kama serikali zetu zingekuwa zinasema ukweli kwa kila kitu kinachofanyika? Kusingekuwepo na utulivu.

    ReplyDelete
  4. Serikali haziwezi kusema kweli kwa kila kitu kwa sababu ya kuogopa kuwapanikisha watu.

    ReplyDelete
  5. Uongo ni kitu cha muhimu katika maisha yetu kama ulivyo ukweli.

    ReplyDelete
  6. Nakubaliana na wewe hapo kk Maregesi. Mtu anaweza kudanganya kwa sababu ya rushwa au vitisho na kwa maana hiyo uongo ukamsaidia, japokuwa unaweza usiwasaidie waliomtisha au waliompa rushwa.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...