Monday 28 January 2013

Maisha

17. Kufanikiwa katika maisha ni kuwa tayari muda wowote kujitoa mhanga kwa ajili ya kitu unachoweza kuwa.

http://www.facebook.com/koloniasantita

5 comments:

  1. You’ve got to be ready to die for what you can be.

    ReplyDelete
  2. Ukishagundua destiny yako tumia chochote ulichonacho kuweza kuifulfil.

    ReplyDelete
  3. Kulingana na takwimu mbalimbali huku Magharibi na sehemu zingine, asilimia kubwa ya waliofanikiwa walijitolea mengi katika maisha yao kufika hapo walipo - asilimia ndogo ikiwa kwa wale waliorithi mali au waliopata mali kwa njia rahisi kama njia za bahati nasibu, n.k., ambao huishiwa baada ya miaka miwili au mitatu kulingana na takwimu hizo. Badala ya kufanya unachojisikia kufanya (au kufanya vitu rahisi), kwa nini usijitahidi kwa kadiri ya uwezo wako kufanya usivyojisikia kufanya, kwa lengo la kufanikiwa? Watu wamejitolea pesa na muda kupata elimu na kuishi vizuri.

    ReplyDelete
  4. Ukitaka kuwa mchezaji mzuri wa mpira wa miguu kwa mfano, panga ratiba ya kila siku na kuizingatia – hata kama hujisikii kufanya mazoezi!

    ReplyDelete
  5. Kwa vile tulizaliwa kwenye dhambi tutasacrifice mengi kuishi vizuri!

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...