Bila hekima hutaweza kuishi kulingana na msingi wa maarifa ya Biblia. Tunapaswa kuishi kulingana na msingi huo.
Biblia inaposema watu wangu hupotea kwa kukosa maarifa, inamaanisha maarifa ya kumjua Mungu ambayo ni hekima.
289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...
No comments:
Post a Comment