Monday, 4 January 2016

Kioo

154. Jitazame kwenye kioo. Jibu ni wewe mwenyewe.

http://www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

  1. Jitazame katika kioo. Fumba macho halafu jitazame tena. Jibu ni wewe mwenyewe.

    ReplyDelete
  2. Una kila kitu unachotafuta, ndani ya moyo wako. Usitafute furaha, utajiri au amani nje ya moyo wako. Tafuta furaha, utajiri au amani ndani ya moyo wako.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...