Monday, 5 August 2013

Mwanadamu

44. Kama mwanadamu una haki ya msingi kuwa na amani katika maisha.

http//www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

  1. Amani ya nafsi ni zaidi ya amani ya kisiasa. Amani ya kisiasa itaweza kupatikana endapo watu watakuwa na amani ndani ya mioyo yao. Watu wakiithamini amani na kuielewa watayafurahia maisha yao, na mataifa yakiithamini amani na kuielewa yatastawi. Vita hutengenezwa ndani ya mioyo ya watu. Ukiitafuta amani ndani ya moyo wako, taifa halitasimama kupigana na taifa, amani itaweza kupatikana.

    ReplyDelete
  2. amani ya kisiasa itawezekana iwapo kila mtu atachukua jukumu la kufanya iwezekane ni kiasi cha maamuzi binafsi

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...