Monday, 29 July 2013

Mwisho

43. Utakapofika mwisho wa njia, geuka. Huo ndiyo mwanzo wa njia nyingine.

http//www.facebook.com/koloniasantita

2 comments:

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...