Monday, 29 October 2012

Uchapakazi

4. Rais wa Tume ya Dunia hakuchaguliwa kuwa kitu katika tume. Alichaguliwa kufanya kitu katika dunia.

http://www.facebook.com/koloniasantita

1 comment:

  1. Rais wa Tume ya Dunia hakuchaguliwa kupata cheo katika tume. Alichaguliwa kuleta mabadiliko katika dunia kama Rais wa Tume ya Dunia.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...