Monday 4 February 2013

Watoto

18. Msichana wa miaka 18 miaka ya 70 ni sawa na msichana wa miaka 8 leo. Msichana wa miaka 8 leo anayajua maisha kuliko msichana wa miaka 18 miaka ya 70. Tuwape watoto wetu haki yao ya msingi ya kuwa watoto katika siku za ujana wao, kabla hawajawa watoto tena watakapokuwa wakubwa.

http://www.facebook.com/koloniasantita

5 comments:

  1. Watoto hawatakiwi kuwa ‘overprotected’ hasa katika kipindi hiki cha zama za mwisho kulingana na Wakristo. Si kosa lao. Ni kosa la mabadiliko ya dunia!

    ReplyDelete
  2. Watoto hawatakiwi kuwa overprotected....:)

    ReplyDelete
  3. Watoto wanatakiwa kupewa kitu kinaitwa controlled freedom au uhuru wa kudhibitiwa. Kwa mfano, kama mtoto wako anataka kwenda disko na marafiki zake na unaona umri wake bado haujamruhusu kufanya hivyo, aidha nenda nae au mpeleke na kisha umrudie kwa muda mtakaokuwa mmekubaliana. Hiyo ni controlled freedom.

    ReplyDelete
  4. Kingine kuhusu controlled freedom ni kuhusu TV na teknolojia kwa ujumla. Watoto wapewe muda maalum wa kuangalia TV na waangalie tu vipindi wanavyostahili kuangalia kama sheria ya parental guidance inavyosema.

    ReplyDelete
  5. Eight-year-old children may also want to contribute more to the family decision-making and routines by helping plan what to have for dinner or how to spend free family time, for example. With their feet firmly planted in middle childhood, 8-year-old children will show interest in being more “grown up” and will be able to begin tackling more responsibilities and routines. – Katherine Lee.

    ReplyDelete

Roho Yako

289. Roho yako inatoka wapi? Ya kwangu inatoka Tanzania. Kwa sababu amani na utulivu ndivyo vitu vya muhimu zaidi katika maisha yangu. ...